SWAHILI PLUS KUWANYANYUA WASANII WACHANGA BONGOMUVI
WASANII Washauriwa kutengeneza kazi zenye maudhui ya kiasili na kutumia lugha ya Kiswahili fasaha ili kuendelea Kutangaza lugha hiyo Kimataifa na kuvitangaza vivutio vilivyopo Tanzania zaidi. Akizungumza na wadau wa sanaa nchini wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya “Kamatia Furushi” pamoja na chaneli mpya yenye maudhui ya Filamu,katuni kwa watoto “Swahili plus” ,St Toons,St Toonie,St…