DKT.MPANGO AZINDUA KAMPENI YA MIAKA 50 YA AFYA KIBAHA
Na Khadija Kalili, Michuzi Tv MAKAMU wa Rais Dkt. Philip Mpango leo Mei 9 amezindua kampeni ya pili ya Mtu ni afya , yenye kauli Mbiu ya Afya yangu Wajibu wangu katika uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya Stendi ya zamani ya mabasi Mailimoja Wilayani Kibaha Mkoani Pwani. Katika uzinduzi huo Dkt. Mpango amewataka wananchi kujikinga…