TUSIWATENGE WALA KUWANYANYAPAA WATOTO WENYE USONJI – MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuacha kuwanyanyapaa watoto na watu wanaoishi na Usonji, magonjwa ya mfumo wa fahamu pamoja na matatizo ya akili. Pia amewataka wazazi na walezi wenye watoto wenye changamoto za ukuaji au uelewa watafute ushauri kwa wataalam wa afya ili watoto wao waweze kufaidika na huduma zilizopo…