Nani wa kuwasemea wahadhiri wa vyuo vikuu nchini?

“Leo niko chuoni kwako, niko ukumbi wa maktaba mpya, naomba nije kukutembelea ofisini kwako”. Ilikuwa sauti ya rafiki yangu nilipoongea naye kwa simu. Hakuwahi kusoma Tanzania kwa sababu baba yake alikuwa mfanyakazi wa balozi mbalimbali nje ya Tanzania. Hana taswira halisi ya vyuo vya hapa nchini. Nilinyong’onyea kwa taarifa ya ugeni ule ofisini kwangu. Siyo…

Read More

Mbinu za kibunifu Sabasaba zavutia watembeleaji

Dar es Salaam. Wakati kilele cha Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), maarufu Sabasaba, kikitarajiwa kufanyika kesho Julai 7, mabanda yameongeza kasi ya kuvutia wageni kwa mbinu mbalimbali za kibunifu. Idadi ya watembeleaji imeendelea kuongezeka tangu siku ya kwanza huku wapigangoma, matarumbeta, wachekeshaji, mangongoti, bendi, wanenguaji na wasanii ni…

Read More

Zitto atahadharisha Watanzania na watu wanaosaka ubunge

Kigoma/Katavi. Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka Watanzania kuwa makini na watu wanaosaka ubunge akisema imefikia hatua wachekeshaji, wasanii na watangazaji wanautaka ubunge. “Bunge linadogoshwa, kwamba limekuwa eneo la machawa au la uchekeshaji au ni la mtu yeyote anayetaka kwenda,” amesema Zitto. Amesema Bunge ni chombo cha kutunga  sheria na linaisimamia…

Read More

CCM yaonya vikao vya mchujo, teuzi

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maagizo kwa kamati za siasa za chama hicho kutenda haki na wasionee watu katika vikao vya mchakato wa mchujo kwa watia nia waliomba kugombea udiwani na ubunge ili kupunguza malalamiko na manung’uniko. Chama hicho kimetoa maagizo hayo siku moja baada ya kufungwa kwa dirisha la uchukuaji na…

Read More

CCM yavuna Sh3.5 bilioni za fomu ubunge, udiwani

Dar es Salaam. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejikusanyia zaidi ya Sh3.5 bilioni kutoka kwa watia nia wa udiwani, wabunge na uwakilishi katika kinyany’anyiro cha kupata fursa za kukiwakilisha kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Leo Alhamisi, Julai 3, 2025 katika ofisi ndogo za CCM jijini Dar es Salaam, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafuzo wa…

Read More