Dogo Paten aibua shangwe kwa Mkapa
Msanii wa Singeli maarufu kama Dogo Paten ameibua shangwe kwa mashabiki baada ya kupata nafasi ya kutumbuiza saa chache baada ya mchezo wa kwanza wa ufunguzi ambapo Yanga Orincess imecheza na Mashujaa Queens. Wimbo Paten wa Afande umeibua hisia kubwa na kupokewa kwa swangwe na mashabiki waliojitokeza kwa wingi kwa Mkwapa katika tamasha la Wiki…