
Tanzania kununua ndege nane, mashabiki Yanga waitwa Sabasaba
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imesema iko katika mchakato wa ununuzi wa ndege nyingine nane licha ya kuwepo kwa zuio la ndege za Air Tanzania kuingia katika anga la Ulaya. Kufuatia kuwapo kwa zuio hilo, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amewataka Watanzania…