
Polisi, Chadema lugha gongana kuhusu madai ya Temba
Arusha. Jeshi la Polisi mkoani Arusha limekana tuhuma za Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha ) Kanda ya Kaskazini, Gasper Temba (30), anayedaiwa kutekwa jijini Arusha. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Justine Masejo leo Jumamosi Agosti 30, 2025, imesema kuwa inamshikilia Temba kwa tuhuma…