Serikali yafungia kadi 12,000 za bima ya afya kwa udanganyifu
Moshi. Serikali imezifungia zaidi ya kadi 12,000 za huduma za bima ya afya na kusitisha huduma katika vituo zaidi ya 33 vya kutolea huduma za afya, baada ya kubainika kuwapo kwa udanganyifu katika matumizi ya bima hizo. Udanganyifu huo unahusisha wagonjwa kujiandikisha kwa kutumia kadi zao za bima, lakini huduma kama vipimo vya CT Scan…