KASI YA MRADI WA EACOP YAPONGEZWA NA WATUMISHI WIZARA YA NISHATI

:::::::::; 📌*Mradi wafikia asilimia 81 huku uchomeleaji wa mabomba ukikamilika kwa asilimia 100* Watumishi kutoka Wizara ya Nishati wamepongeza kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ambao umefikia asilimia 81 huku ukifungua fursa nyingi kwa wananchi ikiwemo upatikanaji wa ajira na ujuzi.. Akizungumza Februari 27, 2026, Chongoleani, Tanga,…

Read More

MKUU WA MKOA KATAVI AAGIZA UTII WA SHERIA ZA TASAC

Na Mwandishi Wetu,Katavi Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, ameagiza wadau wote wa usafiri majini na shughuli zinazohusiana na uendeshaji wa vyombo vya majini mkoani humo kuhakikisha wanatii kikamilifu sheria na taratibu zinazosimamiwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Mrindoko ametoa maagizo hayo leo tarehe 27 Februari, 2026, alipokutana na watalaam wa…

Read More

MBUNGE KIJA NTEMI ATOA SADAKA YA TENDE MISIKITI YA KATORO

Mbunge wa Jimbo la Katoro injinia Kija Limbu Ntemi Leo ametoa sadaka ya tende katika misikiti mbalimbali ya Jimbo hilo ikiwa ni sehemu ya kudumisha umoja na amani kama desturi ya Watanzania Injinia kija alisema kuwa ataendelea kusimamia suala la mshikamaano na kuhakikisha Kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu kwa Imani yake. Katika hatua nyingine…

Read More

Benki ya Absa kuendelea kushiriki mikakati ya kuboresha ustawi na maendeleo endelevu ya watoto, familia na jamii nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (kushoto), akishikana mikono na Mkurugenzi wa Shirika la World Vision Tanzania, Bw. James Anditi, wakati wa uzinduzi rasmi wa Mkakati wa miaka mitano wa Jubilei (2026–2030) wa shirika hilo jijini Dar es Salaam jana, unaolenga kuboresha ustawi na maendeleo endelevu ya watoto, familia na jamii nchini….

Read More

Kamishna: Nidhamu, uadilifu ni msingi wa polisi

Morogoro. Jumla ya askari 785 wa Jeshi la Polisi wamehitimu mafunzo ya uongozi mdogo katika Chuo cha Maofisa wa Polisi Kidatu, huku wahitimu hao wakitakiwa kuzingatia haki za binadamu, nidhamu na uadilifu wanapotekeleza majukumu yao ya kazi. Akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyowahusisha askari wa vyeo vya Sajini Meja (SM), Sajini Staff (SSGT) na…

Read More

Moshi yapendekeza halmashauri mpya ya Vunjo

Dar es Salaam. Kikao maalumu cha ushauri (DCC) Wilaya ya Moshi kimepitisha mapendekezo mawili ya kuanzishwa kwa halmashauri mpya ya Vunjo na kupandishwa hadhi kwa barabara mbili za wilaya kuwa za mkoa. Mapendekezo hayo yamekuja baada ya ziara ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi akisisitiza maboresho ya kiutendaji na…

Read More