Jisajili na Meridianbet na Ushinde Mkwanja Mrefu Leo

MERIDIANBET ikiwa kama kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, wanakwambia kuwa kushinda Mamilioni leo ni nje nje kabisa. Unachotakiw akufanya ni kuingia kwenye akaunti yako na kutengeneza mkeka wa ushindi sasa. EPL kule Uingereza kuna mechi moja ambayo itapigwa kati ya Wolves vs Aston Villa ambao msimu huu wamekuwa na mwenendo mzuri sana kwenye ligi kwani…

Read More

Meridianbet Yaimarisha Mshikamano wa Kijamii Dar es Salaam

MERIDIANBET, kampuni inazoongoza nchini katika michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni, imeimarisha mshikamano wa kijamii kwa kutoa msaada wa vyakula na mahitaji ya msingi kwa familia zenye uhitaji maalum wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Hatua hii ni ishara thabiti ya dhamira ya Meridianbet ya kushirikiana na jamii katika kukabiliana na changamoto za maisha ya…

Read More

Mwili Kardinali Pengo Ulivyowasili Katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu – (Video +Video)

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Mwili wa Marehemu Mwadhama Polycarp Pengo ulivyowasili katika viunga vya Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu – Jimbo Kuu la Dar es Salaam, kutoka Hospitali ya Lugalo Hospital, jijini humo. Mwadhama Kardinali Pengo, aliyejulikana kwa mchango wake mkubwa katika Kanisa Katoliki na jamii ya Tanzania kwa ujumla, alifariki dunia…

Read More

Kardinali Rugambwa Aongoza Makardinali Kutolewa Heshima za Mwisho Mwili wa Pengo

Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, amewaongoza makardinali wenzake kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mwadhama Polycarp Pengo, aliyekuwa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Katika tukio hili la kihistoria, Kardinali Rugambwa aliongozana na Fridolin Cardinal…

Read More