KNCU yaanza kulipa madeni ya vyama vya msingi Kilimanjaro
Moshi. Zikiwa zimepita siku saba baada ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuagiza Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) kuuza moja ya mali zake ili kulipa deni la zaidi ya Sh400 milioni kwa vyama vya msingi 12, utekelezaji wa agizo hilo umeanza huku Sh225 milioni zikilipwa kwa vyama vinane. Madeni hayo yanatokana na…