Kardinali Rugambwa Aongoza Makardinali Kutolewa Heshima za Mwisho Mwili wa Pengo
Global Publishers February 27, 2026 0 Comments Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, amewaongoza makardinali wenzake kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Mwadhama Polycarp Pengo, aliyekuwa Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Katika tukio hili la kihistoria, Kardinali Rugambwa aliongozana na Fridolin Cardinal…