Wanawake waitwa kupata msaada kuhusu ardhi
Dar es Salaam. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imewaita wanawake wote kwenye kliniki maalumu ya ardhi ‘Samia Ardhi Kliniki’ ili kupata msaada wa kitalaamu kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu ardhi. Naibu katibu mkuu wa wizara hiyo, Lucy Kabyemera amesema Samia Ardhi Kliniki itaanza Machi 2 hadi 7, 2026 katika mikoa yote 26 ikiwa…