TAHA Kuandaa Maonesho ya Kimataifa ya Hortilogistica Africa 2026 jijini Arusha
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. TAASISI kilele ya sekta binafsi inayoshughulika na tasnia ya horticulture nchini TAHA, imewasilisha rasmi mpango wa kuandaa maonesho makubwa zaidi katika historia ya sekta ya horticulture nchini — HORTILOGISTICA AFRICA 2026 — mbele ya Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo (Mb), na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Kitila…