Hii hapa ratiba ya mazishi ya Kardinali Pengo

Dar es Salaam. Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limetoa ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo kuu Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo yakitarajiwa kufanyika  Jumamosi Februari 28, 2026, jijini Dar es Salaam. Kardinali Pengo alifariki dunia Februari 19, 2026, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete alikokuwa…

Read More

CCM yashinda kiti cha udiwani Shiwinga

Mbozi. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa udiwani wa Kata ya Shiwinga Jimbo la Mbozi mkoani Songwe, baada ya mgombea wake, Menard Mzumbwe kupata kura 5,030 kati ya kura halali 5,210 zilizopigwa. Uchaguzi huo umefanyika leo Alhamisi, Februari 26, 2026. Akitangaza matokeo rasmi msimamizi wa uchaguzi wa Kata ya Shiwinga,…

Read More

Meridianbet Na Burudani Mpya ya Kidijitali Kupitia Aspect Gaming & Superspade Games

KATIKA ulimwengu ambao teknolojia inaamua mwelekeo wa burudani, Meridianbet imeendelea kuonesha kwa vitendo kuwa iko hatua moja mbele ya ushindani. Kupitia mkakati wake wa kushirikiana na wabunifu wakubwa wa michezo duniani, Meridianbet inaleta mapinduzi katika sekta ya kasino mtandaoni kwa kuwapa wachezaji uzoefu wa kisasa, salama na wenye msisimko wa hali ya juu. Kupitia ushirikiano…

Read More

DKT MPANGO AWASILI SONGEA

…. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 26 Februari 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Tamasha la kumbukizi ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji litakalofanyika tarehe 27 Februari 2026, Viwanja vya Makumbusho ya Majimaji,…

Read More

RC MALIMA AIPONGEZA REA UTEKELEZAJI MIRADI MIKUBWA YA UMEME

………….. 📌Bilioni 7 kuwezesha maeneo 165 ya miji kupata huduma ya umeme Morogoro 📍Morogoro Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa utekekezaji wa miradi ya umeme maeneo ya Vijijini na Vitongoji hali iliyopelekea kuchochea uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla. RC Malima ametoa pongezi hizo leo…

Read More

Masaju akomaa na haki za raia

Dar es Salaam. Wakati Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiwataka majaji na mahakimu kuhakikisha wanatenda haki, kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vya rushwa, wadau wamesema azma hiyo itafanikiwa iwapo wahusika watatengenezewa mazingira mazuri ya kazi. Aidha, mkuu huyo wa muhimili wa Mahakama amewaeleza watendaji hao kutekeleza majukumu yao bila kusubiri au kufuata maelekezo,…

Read More