MBUNGE JUMAA AFUTURISHA VIONGOZI WA CCM KATA 6 MLANDIZI WASHUKURU, AOMBA USHIRIKIANO ZAIDI
Na Khadija Kalili, Mlandizi MBUNGE wa Jimbo la Kibaha Vijijini Hamoud Abuu Jumaa leo tarehe 25 Februari 2026 amekutana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi katika mkutano maalumu wa kutoa shukran zake za dhati kwao kwa kumchagua kuwaongoza Jimboni humo. Mhe.Mbunge Hamoud amesema hayo leo tarehe 25 kwenye mkutano uliofanyika Malandizi Stendi, Wilayani Kibaha Mkoa…