Serikali yafafanua meli iliyokamatwa na dawa za kulevya

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeeleza hatua zilizochukuliwa kufuatia kukamatwa kwa meli yenye bendera ya Tanzania nchini El Salvador, iliyodaiwa kubeba tani 6.6 za dawa za kulevya aina ya kokeini. Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, baada ya kusambaa kwa taarifa za kukamatwa kwa meli hiyo Februari 17 mwaka huu, siku…

Read More

CCM YATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA ASKOFU MKUU RUWA’ICHI KUFUATIA KIFO CHA KADINALI PENGO

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa salamu za rambirambi kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi OFMCap, kufuatia kifo cha Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo hilo, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, aliyefariki dunia Februari 19, 2026, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alipokuwa akipatiwa matibabu. Akizungumza Februari…

Read More

Beti Mechi za EUROPA na Odds Tamu za Meridianbet

Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo hapa na ubashiri leo. Lakini pia unaweza ukaibuka bingwa kwani machaguo ni mengi hapa. Fenerbahce atamualika kwake Nottingham Forest kutoka kule Uingereza na takwimu zinaonesha kuwa hawa wawili hawajawahi kukutana hivyo hii ndio mara yao…

Read More

Kafulila – ”Kardinali Pengo Aliamini Umoja wa Kitaifa Bila Kujali Upepo wa Kisiasa”

Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amesema aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini, Kardinali Polycarp Pengo, atakumbukwa kama kiongozi wa dini aliyeamini na kusimamia umoja wa kitaifa bila kujali upepo wa kisiasa wa wakati husika. Kafulila amesema Kardinali Pengo…

Read More

JKCI yaja na mkakati kupunguza vifo vya mapema kwa wanaume

Arusha. Wakati ripoti ya kimataifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ikionyesha wanaume duniani wanaongoza kwa vifo vya mapema, takribani asilimia 13 zaidi ya wanawake kila mwaka, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imezindua mkakati mahsusi wa kuhamasisha uchunguzi wa mapema wa afya ya moyo ili kupunguza vifo vya mapema, hususan miongoni mwa wanaume….

Read More