JKCI yaja na mkakati kupunguza vifo vya mapema kwa wanaume

Arusha. Wakati ripoti ya kimataifa ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ikionyesha wanaume duniani wanaongoza kwa vifo vya mapema, takribani asilimia 13 zaidi ya wanawake kila mwaka, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imezindua mkakati mahsusi wa kuhamasisha uchunguzi wa mapema wa afya ya moyo ili kupunguza vifo vya mapema, hususan miongoni mwa wanaume….

Read More

Ulega aagiza vibarua kupatiwa vyeti baada ya kumaliza kazi

Iringa. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewaagiza wahandisi, makandarasi na kampuni zinazotekeleza miradi ya Serikali, kuhakikisha kila fundi au kibarua anayeshiriki katika miradi hiyo anapewa cheti maalumu baada ya kukamilika kwa mradi, kinachoonesha amefanya kazi husika. Agizo hilo amelitoa leo Alhamisi Februari 26, 2026, wakati wa ziara yake katika mradi wa ujenzi wa jengo la…

Read More

TRA yaja na ‘ofisi zinazotembea’ kuongeza wigo wa mapato

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua magari maalumu ya kutolea huduma za kodi maarufu ‘ofisi zinazotembea’ ili kuboresha huduma na kuzisogeza karibu na wananchi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa magari hayo jana Jumatano, Februari 25, 2026 jijini Dar es Salaam, Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar alisema yatasaidia kuongeza wigo wa…

Read More

Wapatiwa ‘nyenzo’ kukabili mabadiliko ya tabianchi

Njombe. Wananchi wa vijiji saba wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, wamepatiwa miche 700 ya miti kwa lengo la kuwasaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, hali inayotajwa kuathiri uzalishaji wa mazao na kupunguza tija kwa wakulima wa eneo hilo. Mabadiliko ya tabianchi yameelezwa kuwa chanzo cha ardhi kupoteza rutuba, jambo linalowalazimu wakulima kutumia kiasi kikubwa…

Read More

Hekaheka ya kusaka maji kilomita 24 Handeni

Tanga. Wakati maji yakigeuka lulu kwa wakazi wa Mkata Magharibi, wilayani Handeni, mkoani Tanga, kwa Sadick Idd, safari ya kuyafuata imegeuka chanzo cha maumivu na msongo wa mawazo. Idd anasimulia Januari 21, 2026 alipata ajali alipofuata maji kwenye Bwawa la Sua, akiwa na baiskeli iliyobeba madumu matano. “Sikuwa na namna tangu Julai 2025 hatuna maji. …

Read More

Jaji Mutungi amevunja ukimya mgogoro wa CUF

Dar es Salaam. Hatimaye, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amevunja ukimya na kuzungumzia uongozi mpya wa Chama cha Wananchi (CUF) unaoongozwa na mwenyekiti, Mirambo Yusuf, huku akitaka wenye manung’uniko kufuata taratibu. Chama hicho kilifanya uchaguzi mkuu wa dharura kuanzia Februari 20, 2026, ili kupata uongozi mpya. Hata hivyo, matokeo ya uchaguzi huo…

Read More

Wapatiwa ‘nyenzo’ kukabili mabadiliko ya tabia  nchi

Njombe. Wananchi wa vijiji saba wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, wamepatiwa miche 700 ya miti kwa lengo la kuwasaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, hali inayotajwa kuathiri uzalishaji wa mazao na kupunguza tija kwa wakulima wa eneo hilo. Mabadiliko ya tabianchi yameelezwa kuwa chanzo cha ardhi kupoteza rutuba, jambo linalowalazimu wakulima kutumia kiasi kikubwa…

Read More