Mradi kurejesha misitu kutekelezwa Karatu, Monduli

Arusha. Ili kuboresha shughuli za uhifadhi wa mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, mradi maalumu wa kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa wazalishaji na wafanyabiashara wadogo wa Wilaya ya Karatu na Monduli, umezinduliwa. Mradi huo umelenga kuongeza urejeshaji wa misitu, ustahimilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, uhakika wa chakula na kuongeza mitaji kwa wazalishaji na…

Read More

Ndejembi aitaka Pura kuwaandaa Watanzania kunufaika na gesi asili

Morogoro. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Pura) kuanza mapema kuwaandaa Watanzania kushiriki kikamilifu katika mradi wa gesi asilia kimiminika (LNG), ili wanufaike kabla ya wageni. Akizungumza leo Februari 26, 2026 mjini Morogoro wakati wa kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Pura, Ndejembi amesema rasilimali…

Read More

Kaya zapiga hatua matumizi vyoo bora Ileje

Songwe. Kaya zenye vyoo bora wilayani Ileje Mkoani Songwe zimefikia asilimia 54 sawa na kaya 9,950 huku asilimia 0.2 sawa na kaya 234, hazina vyoo kabisa huku wananchi wakihimizwa kutumia vyoo vya kisasa kwa usalama wa afya zao. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi Februari 26, 2026 na Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi wakati wa…

Read More

LAVENDER CATERING YAANDAA BATA LA MFUNGO

Katika tukio la kipekee kabisa kwenye kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan na Kwaresma limegusa watu wengi katika kusheherekea kwa pamoja na familia zao kwa chakula kinacho andaliwa na wataalam na wabobezi wikiendi hii ya tarehe 28 February na 1 March 2026 MBEZI BEACH RAINBOW Dar es salaam. Lavender Catering itaandaa menu ya kifahari yenye…

Read More

Wadau wataja suluhisho la foleni majiji makuu nchini

Dar es Salaam. Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akitafuta suluhisho la foleni nchini, wadau mbalimbali wametoa mapendekezo ya namna ya kumaliza changamoto hiyo inayodidimiza uchumi wa Watanzania. Februari 23, 2026, wakati akizungumza na Jumuiya ya Wanafunzi wa Fani za Uhandisi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Ulega alitangaza zawadi ya Sh10 milioni…

Read More