Kapinga: Mfumo wa stakabadhi za ghala nguzo ya utekelezaji wa dira ya Maendeleo 2050

Serikali imesisitiza kuwa mfumo wa stakabadhi za ghala ni muhimu na kichochezi kuelekea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Huku ikiendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha  kunafanyika urasimishaji wa bidhaa za Tanzania kupitia mfumo wa stakabadhi za ghala, ili kuongeza thamani ya mazao ya kilimo, kulinda masilahi ya wakulima, kuongeza ajira kwa vijana na…

Read More

Magari Yaponea Chupu Chupu Baada ya Barabara Kupasuka!

Global Publishers February 26, 2026 0 Comments Magari mawili  yameponea chupuchupu  kuzama kwenye shimo kubwa lililofunguka ghafla kwenye makutano ya barabara katika Jimbo la Nebraska, Marekani, Februari 24. Kwa mujibu wa video ya kamera ya trafiki, magari hayo yalikuwa yamesimama kwa utulivu yakisubiri taa za kuongozea magari zibadilike. Hata hivyo, bila dalili yoyote ya hatari,…

Read More

Video: Waziri Mkuu Mwigulu – ”Mtauana Bure Ardhi Haiongezeki”

Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Leo Februari 26, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Manyara, wilayani Kiteto, ambako amewahutubia wananchi, kusikiliza kero zao na kuzitolea ufumbuzi. Katika mkutano huo, mwananchi Ngobi Zuberi aliibua kero akidai wafugaji kulisha mifugo kwenye shamba lake lote hali iliyosababisha kushindwa kuvuna chochote….

Read More

BARABARA YA MLIMA KITONGA KUWA NJIA NNE

…….. 📌Lengo ni kupunguza foleni, usalama 📌Ni Maelekezo ya Rais Samia 📌Waziri Ulega aagiza manunuzi yaanze mara moja SERIKALI iko katika hatua za mwisho za kuanza upanuzi wa barabara ya Kitonga mkoani Iringa ambayo sasa itakuwa ya njia nne na yenye taa za barabarani.  Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa hatua hiyo ni uamuzi…

Read More

UMBALI MREFU SABABU YA WANAFUNZI KUTOFANYA MTIHANI

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Biharamulo, Innocent Mkandara. ………. IMEELEZWA kuwa umbali mrefu wa kufika shuleni pamoja na wazazi kuhama makazi yao ya awali pasipo kutoa taarifa rasmi za wanafunzi wanaosoma shule za msingi wilayani Biharamulo mkoani Kagera ni chanzo cha kuporomoka kwa idadi ya watahiniwa wa darasa la nne. Hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji…

Read More

Sh500 milioni kupunguza changamoto ya maji Kimochi

Moshi. Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew, amesema Serikali itapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa zaidi ya wananchi 16,000 wa Kata ya Kimochi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro ndani ya siku 90. Akizungumza jana Jumatano, Februari 25, 2026, wakati akisikiliza kero za wananchi wa eneo hilo, Kundo alisema…

Read More