Papa Leo kufanya ziara ya kwanza barani Afrika

Vatican. Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, anatarajia kufanya ziara nchini Algeria, Cameroon, Angola, na Equatorial Guinea katikati ya Aprili taarifa iliyotolewa na Vatican Februari 25, 2026.  Kwa mujibu wa taarifa hiyo kituo cha kwanza katika ziara yake ya siku 10 kitakuwa miji ya Algiers na Annaba kuanzia Aprili 13 hadi 15, 2026….

Read More

Ulega: Babarara Mlima Kitonga kuwa njia nne 

Serikali iko katika hatua za mwisho za kuanza upanuzi wa barabara ya Kitonga mkoani Iringa, ambayo sasa itakuwa ya njia nne na yenye taa za barabarani. Mkakati huo unatajwa kuwa licha ya kuboresha huduma, lakini pia unakwenda kumaliza ajali kwenye eneo hilo. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza mpango Jumatano, Februari 26, 2026 na kuwa hatua…

Read More

KATIBU MKUU RAMEPRO,BONIVENTURA MWALONGO SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA MAREHEMU KARDINALI PENGO

Kwa masikitiko makubwa na huzuni nzito, tumepokea taarifa ya kifo cha Mwadhama Polycarp Cardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Marehemu alikuwa mchungaji mwaminifu na kiongozi mwenye hekima na busara, aliyeilitumikia Kanisa na Taifa kwa uaminifu mkubwa, akiacha alama isiyofutika katika mioyo ya wengi. Kwa niaba yangu binafsi na kwa…

Read More

Ni zamu ya vigogo CCM kufyekwa

Dar es Salaam. Fumua fumua ya uongozi au watendaji wa sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wengine inaweza kufanyika wakati wowote ndani ya chama hicho, Mwananchi imeelezwa. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya CCM zinaeleza mchakato wa kufanya mabadiliko unaendelea ukitarajia kugusa safu za juu ya uongozi wa chama hicho tawala. Endapo…

Read More

Faida 5 za Maji ya Limao Ambazo Watu Wengi Hawazijui

Maji ya limao ni kinywaji rahisi kinachotengenezwa kwa kuchanganya maji na juisi ya limao mbichi. Kunywa maji ya limao kila siku kunaweza kusaidia kuboresha afya kwa ujumla kwa kutoa virutubisho muhimu, kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia kazi mbalimbali za mwili. Kwa mujibu wa tovuti ya afya ya Healthline, glasi ya juisi iliyokamuliwa kutoka gramu…

Read More

MALALAMIKO YA VIWANJA MBADALA YAPATIWA UFUMBUZI DODOMA

Na Munir Shemweta, WANMM Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma. Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma kuwapa ahadi bila kutekeleza mpaka sasa.Kauli…

Read More