Umeyafikiria maisha ya familia ukifika miaka 60?
Mwanza. Ulishawahi kujiuliza, ukifikisha umri wa miaka 60 au zaidi, nini hasa utakitegemea ili kuishi maisha yenye furaha, afya na utulivu wa moyo? Wengi hudhani familia, watoto au marafiki wa karibu ndio msaada wa uhakika uzeeni. Lakini kwa kiuhalisia, kadri miaka inavyosonga mbele, hali za maisha hubadilika. Uhusiano unapoa, watoto hujishughulisha na maisha yao, na…