Njia 7 Rahisi Zinazosaidia Kwa Tiba ya Mafua Msimu wa Baridi Kali
Global Publishers February 26, 2026 Mwili unahitaji kuwa na kinga ya kutosha ili kakabiliana na maradhi mbalimbali hasa mafua ambayo huwapata watu mara nyingi katika mazingira yenye baridi na vumbi.Muhimu zaidi katika kukabiliana na mafua ni mtu kuzingatua usafi na kukaa katika mazingira yasiyokuwa hatari kwa afya. Vitamini C Hupatikana sana kwenye matunda na mboga…