JAFO AWAKUNA WANANCHI KWA KUSIMAMIA DARAJA LA KITOMONDO HADI USIKU
WANANCHI wa Kata ya Mzenga na Mafizi wamepongeza hatua ya Mbunge wao, Dkt. Selemani Jafo, kusimamia binafsi ujenzi wa Daraja la Kitomondo hadi usiku, wakisema imeongeza kasi na uwajibikaji kwa mkandarasi. Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa Mafizi, mmoja wa wazee wa eneo hilo, Ramadhani Zungwe amesema si jambo la kawaida kwa kiongozi kubaki…