Dc Mnzava aingilia kati mgomo wa madereva daladala Himo

Moshi. Madereva daladala eneo la Njia Panda, Himo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, waligoma kwa zaidi ya saa tano wakidai madereva bajaji kuwanyang’anya abiria katika vituo vyao vya kupakia na kushusha abiria barabara ya Marangu–Mwika. Mgomo huo ulitokea Februari 25, 2026 na kusababisha usumbufu kwa wasafiri, huku daladala zikisitisha huduma zikishinikiza bajaji kuondoka katika eneo lao….

Read More

Hakuna maendeleo bila ushirikiano – Waziri Sangu

Rukwa. Jamii imetakiwa kuimarisha na kuenzi utamaduni wa ushirikiano kupitia majadiliano ya mara kwa mara, hatua itakayochangia kujenga Taifa lenye ustawi na maendeleo endelevu. Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano,  Deus Sangu, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela, wakati wa ziara yake katika…

Read More

Mahakama Kuu Yafungua Kikao cha Mwaka, Jaji Kiongozi Asisitiza Uwajibikaji

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dkt. Mustepher Mohamed Siyani. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dkt. Mustepher Mohamed Siyani, amewasisitiza Majaji, Mahakimu na Wakurugenzi wa Mahakama ya Tanzania kuhakikisha wanatekeleza mikakati inayowekwa na vikao mbalimbali pamoja na kuwasilisha utekelezaji wake kwa wakati. Dkt. Siyani ametoa rai hiyo leo tarehe 25 Februari, 2026…

Read More

Wananchi walalamikia kero ya maji Barabara ya Dodoma–Iringa

Dodoma. Wananchi waishio pembezoni mwa barabara kuu ya Dodoma – Iringa katika kata za Manzase na Fufu wameiomba Serikali kuboresha ujenzi wa barabara hiyo ambayo imekuwa kero wakati wa mvua. Wananchi hao wamelalamikia athari za mvua zinazokwamisha mawasiliano, kusababisha maji kujaa kwenye makazi yao na kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Wakizungumza leo Jumatano Februari…

Read More

Mkakati kulinda Ziwa Tanganyika na Victoria

Kigoma. Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) imesaini mkataba wa ushirikiano na Tume ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC), kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wa jinsi ya kudhibiti rasilimali za maji, kilimo, sekta ya uchukuzi, kuunganisha shughuli za kiuchumi na maisha ya watu wanaozungukwa na maziwa hayo. Akizungumza leo Februari 25, 2026 mjini Kigoma, baada ya…

Read More