Mkakati kulinda Ziwa Tanganyika na Victoria
Kigoma. Mamlaka ya Ziwa Tanganyika (LTA) imesaini mkataba wa ushirikiano na Tume ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC), kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wa jinsi ya kudhibiti rasilimali za maji, kilimo, sekta ya uchukuzi, kuunganisha shughuli za kiuchumi na maisha ya watu wanaozungukwa na maziwa hayo. Akizungumza leo Februari 25, 2026 mjini Kigoma, baada ya…