Habari
Tengeneza Jamvi Lako la Ushindi Kupitia Meridianbet
JUMATANO ya ushindi na Meridianbet imefika, Timu zote zinawania nafasi ya kufuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano ya UEFA mkondo wa pili kuchezawa leo. Wewe unachotakiwa kufanya ni kubashiri na Meridianbet. Atalanta atakipiga dhidi ya Borussia Dortmund ya kule Ujerumani ambapo mechi ya mkondo wa kwanza wlaipokutana, wenyeji walipoteza. Mechi hii ya leo ndio…
Meridianbet Ipo na Wewe, Shinda Samsung A26 Ukiwa Mchezaji wa Super Heli
MERIDIANBET inawapa wapenzi wa michezo nafasi ya kipekee ya kushinda kila wiki. Ukiwa mchezaji wa Super Heli, sasa unaweza kujishindia simu mpya ya kisasa ya Samsung A26, huku ukiendelea kufurahia msisimko wa michezo ya kasino mtandaoni. Hii ni fursa ya kipekee ya kuunganisha burudani na ushindi wa kweli, moja kwa moja kutoka Meridianbet. Kila Jumatatu,…
RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AWEKA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA MAREHEMU KARDINALI PENGO
RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, leo ameweka saini katika kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es Salaam, marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu jijini Dar es Salaam. Baada ya kuweka saini, Dkt Kikwete…
Biashara mtandao kurasmishwa Zanzibar | Mwananchi
Unguja. Serikali imesema inatambua umuhimu wa ukuaji wa biashara mtandaoni kama chachu ya maendeleo ya uchumi, upanuzi wa masoko na uongezaji wa ajira. Imesema kwa ufahamu huo, ndiyo sababu imechukua hatua za kimkakati kuhakikisha biashara hizo zinatambulika rasmi na kupewa mazingira bora ya kustawi. Miongoni mwa hatua zilizochukuliwa ni kutungwa kwa Sera ya Biashara ya…
WANANCHI PERAMIHO, SHIWINGA KUPIGA KURA KESHO KUCHAGUA MBUNGE, DIWANI
Na Mwandishi wetu, RuvumaWapiga Kura 127,632 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki katika uchaguzi wa kuchagua Mbunge katika Jimbo la Peramiho lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Mkoa wa Ruvuma na Kata ya Shiwinga iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa…
Migogoro ya vyama vya siasa ni mifumo au lawama ziendelee!
Dar es Salaam. Wakati Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ikiendelea kuvitupia lawama vyama na viongozi wake kwa kuibua migogoro kutokana na kutokuzingatia katiba na maadili yao huku ikichukua hatua za kinidhamu mara kadhaa, hali ya mivutano ndani ya vyama hivyo imeendelea kushika kasi. Kwa upande wao, baadhi ya viongozi wa vyama wamekuwa…
Mbunge Kabati awarejeshea tabasamu wenye ulemavu 13
Iringa. Furaha na shangwe zimetawala katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa, baada ya watu 13 wenye ulemavu kukabidhiwa viungo bandia vya miguu vilivyogharimiwa na Mbunge wa Kilolo, Ritta Kabati kupitia Taasisi ya Ritta Kabati Trust Fund. Wanufaika hao wamesema kwa muda mrefu walikwamishwa na gharama kubwa za viungo saidizi, hali iliyowafanya waendelee kuishi…
Mvua zakwamisha ujenzi wa barabara, mbunge ang’aka
Tunduru. Ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 1.7 katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma, umeshindwa kukamilika kwa wakati kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika eneo hilo. Barabara zinazojengwa kwa kiwango cha lami ni kipande cha Boma–Mkwanda chenye urefu wa mita 700 na Mlingotini–Supermarket chenye urefu wa kilomita 1. Akizungumza mbele ya Mbunge…
Serikali yatoa tahadhari magonjwa ya mafua, Uviko-19 yakishika kasi
Dar es Salaam. Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kufuatia ongezeko la wagonjwa wa mafua makali na Uviko-19 nchini, huku ikiwasihi kuchukua hatua za kinga ili kudhibiti maambukizi. Serikali pia imeonya kuhusu hatari ya Homa ya Dengue kufuatia mvua za masika zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini, hali inayochochea mazalia ya mbu aina ya Aedes….