Serikali yatoa tahadhari magonjwa ya mafua, Uviko-19 yakishika kasi
Dar es Salaam. Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kufuatia ongezeko la wagonjwa wa mafua makali na Uviko-19 nchini, huku ikiwasihi kuchukua hatua za kinga ili kudhibiti maambukizi. Serikali pia imeonya kuhusu hatari ya Homa ya Dengue kufuatia mvua za masika zinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini, hali inayochochea mazalia ya mbu aina ya Aedes….