Trump Avunja Rekodi ya Hotuba Bungeni, Aahidi Kuzuia Silaha za Nyuklia za Iran
Global Publishers February 25, 2026 0 Comments Rais wa Marekani, Donald Trump, amevunja rekodi ya muda katika hotuba yake ya kila mwaka Bungeni, akisisitiza waziwazi kwamba hatairuhusu Iran kuwa na silaha za nyuklia. “Kwa miongo kadhaa, sera ya Marekani imekuwa kutoruhusu Iran kupata silaha za nyuklia,” Trump alisema. “Wameonywa wasijaribu kujenga upya mpango wao wa…