
Waziri awataka wataalamu wa misitu kutumia teknolojia kulinda rasilimali
Zanzibar – Chama cha Wataalamu wa Misitu Tanzania (TAF) kimetakiwa kujadili njia mpya za kulinda misitu kwa kutumia maarifa ya kisayansi na teknolojia za kisasa ili kukabiliana na changamoto za ongezeko la watu na ukataji miti ovyo. Wito huo umetolewa leo Septemba 4, 2025 na Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo wa Zanzibar, Mhe….