Tanzania yateuliwa mwenyeji ununuzi wa pamoja wa dawa SADC

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeteuliwa kuwa mwenyeji wa Mpango wa Ununuzi wa Pamoja wa Dawa na vifaatiba kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), maarufu SPPS, hatua inayotarajiwa kupunguza gharama za dawa na kuimarisha upatikanaji wake katika ukanda huo. Licha ya kwamba Tanzania imewahi kuteuliwa awali, uteuzi wa sasa unaonekana…

Read More

Mwigulu Aonya Watumishi Kumiliki Vizimba Kwenye Masoko Ya Halmashauri

Global Publishers February 24, 2026 0 Comments Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewaonya watumishi wa Halmashauri mbalimbali ambao wamekuwa wakichukua vizimba katika masoko mbalimbali na kuvikodisha kwa gharama ya juu kwa wafanyabiashara, akisema ikiwa atabaini kufanyika kwa tabia hiyo, mtumishi huyo atakuwa amejifukuzisha kazi serikalini. Waziri Mkuu Mwigulu…

Read More

Jaji Tchikaya achaguliwa rais Mahakama ya Haki Afrika

Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imemchagua Jaji Blaise Tchikaya wa Jamhuri ya Congo (Brazzaville) kuwa rais mpya wa taasisi hiyo ya haki barani Afrika, akimrithi mtangulizi wake, Jaji Dk Modibo Sacko. Jaji Blaise Tchikaya amechaguliwa leo Februari 24, 2026 na jopo la majaji 11 wa mahakama hiyo katika uchaguzi…

Read More

Dk Mwigulu aonya watumishi kupangisha vizimba wafanyabiashara

Arusha. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, ametoa onyo kwa baadhi ya watumishi wa umma wanaojihusisha na tabia ya kukodisha maduka au vizimba kwa wafanyabiashara kwenye masoko, kinyume na utaratibu. Ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kusimamia sensa ya wafanyabiashara waliokuwa na vizimba katika soko la Kilombero, ili ujenzi utakapokamilika wapewe kipaumbele cha kwanza….

Read More

Radi yaua wawili Morogoro | Mwananchi

Morogoro. Mvua zinazoendelea kunyesha zimeacha majonzi baada ya watu wawili kupoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa kwa kupigwa na radi Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Februari 24, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema tukio hilo limetokea usiku wa jana Jumatatu Februari 23,2026 katika kitongoji cha…

Read More