Wafugaji Monduli kulipa ada ya kusomesha watoto kwa ng’ombe
Monduli. Wafugaji wa jamii ya Kimasai katika Wilaya ya Monduli mkoani Arusha imebuni njia ya kipekee ya kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ya mitaala ya Kiingereza, kwa kutoa mifugo kulipa ada ya shule, badala ya fedha taslimu kama ilivyozoeleka katika shule nyingi nchini. Lengo kubwa la mpango huo ni kuongeza idadi ya watoto wa jamii…