Askofu Rugambwa azikwa Bukoba, huu hapa wasifu wake

Mwanza. Mwili wa Askofu Novatus Rugambwa umezikwa leo, Septemba 29, 2025, katika Kanisa Kuu la Bikira Maria Mama Mwenye Huruma, Bukoba mkoani Kagera. Hayati Rugambwa amezikwa jirani na Mwadhama Laurean Kardinali Rugambwa, Kardinali wa kwanza barani Afrika na aliyemrithisha jina lake pamoja na marehemu Askofu Nestor Timanywa, aliyemlea na kumpa daraja la upadri. Misa Takatifu…

Read More

Tuimarishe Lishe, Tupunguze Magonjwa Sugu

…………… NA. MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi amewataka wadau kushirikiana na Serikali katika kuimarisha hali ya lishe nchini ili kupunguza kasi ya kuenea kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Amesema ulaji usio faa na mitindo mibaya ya maisha vimechangia kuongezeka kwa magonjwa…

Read More

Kesi ya kikatiba kupinga ulimaji, matumizi ya tumbaku Tanzania yatupwa

Dodoma. Mahakama Kuu imeitupa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Watanzania wanne wakiibana Serikali isitishe kilimo na matumizi ya tumbaku, ikiwamo uvutaji wa sigara, kutokana na dosari za kisheria zilizobainika wakati wa kulipia nyaraka. Uamuzi wa kulitupa shauri hilo umetolewa Septemba 25, 2025, na nakala ya hukumu kupatikana leo Septemba 29. Katika kuhakikisha afya ya Watanzania…

Read More

Abood awajibu wakosoaji, aahidi maendeleo Morogoro Mjini

Morogoro. Mgombea ubunge  Morogoro Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdul-Aziz Abood, amewajibu wakosoaji wake wanaodai kuwa hajafanya kazi katika kipindi cha miaka 15 aliyokuwapo bungeni, akibainisha kuwa maendeleo yaliyopatikana jimboni humo ni ushahidi wa kazi zake. Abood ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 29, 2025 wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM katika Kata…

Read More

Watuhumiwa wa Mauaji ya Shyrose Mabula Wauawa na Polisi Mbeya – Video – Global Publishers

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, limetoa taarifa kuwa watuhumiwa watatu waliokuwa wakituhumiwa kumteka kisha kumuua Shyrose Mabula, mwanafunzi wa Shahada ya Sheria Chuo Kikuu cha Mzumbe, Tawi la Mbeya, Shyrose Mahande (21), wameuawa wakati wakijaribu kupambana na polisi wakati wa ukamataji wao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, amewataja waliouawa kuwa ni Marwa Nyahega,…

Read More

Mahakama ilivyoamua kesi mali za Chadema

‎Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imekiamuru Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwasilisha mahakamani hapo  nyaraka zinazohusiana na rasilimali zake kufuatia kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali usio sawa kati ya Tanzania Bara na Zanzibar inayokikabili. Amri hiyo imetolewa na Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi hiyo, leo Jumatatu, Septemba…

Read More

Dkt. Mwinyi Aahidi Masoko Mapya Matano kwa Wafanyabiashara Zanzibar

MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga masoko makubwa mapya matano ili kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao katika mazingira bora zaidi. ✅ Maeneo mapya: Kinyasini, Mwera, Kibandamaiti, Kisauni na Kwahajitumbo 
✅ Kupunguza msongamano na kodi kubwa kwa wafanyabiashara 
✅ Kuendeleza biashara na uchumi wa Zanzibar Rais Dkt. Mwinyi amewaomba…

Read More

Othman ataja mambo manne yatakayompa urais Zanzibar

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar (ACT Wazalendo), Othman Masoud Othman, ameyataja mambo manne ambayo ni siri ya ushindi wa chama chake katika nafasi ya urais visiwani humo katika uchaguzi wa mwaka huu, huku akijinasibu kuwa, tayari chama hicho kimeshayatimiza. Miongoni mwa siri hizo, kwa mujibu wa Othman ni kujua wanachokipambania ambacho ni masilahi ya Wazanzibari,…

Read More