Masoko mapya 13 kujengwa Ubungo

Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameahidi ujenzi wa masoko 13 katika Wilaya ya Ubungo yatakayochochea uchumi wa wananchi na Taifa. Aidha, amewaahidi wafanyabiashara ndogondogo wa Ubungo jijini Dar es Salaam kwamba biashara zao zitarasimishwa ili kuwawezesha kupata mikopo na kupunguza urasimu wa kupata leseni. Mgombea…

Read More

Cheza Super Heli na Ushinde Samsung Galaxy A26 Kila Wiki

HATIMAYE sasa mchezo wa Super Heli unaopatikana kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet umewasili na ujio wake wakati huu ni wa mvuto kwani mchezo umekuja na zawadi murua kabisa kwa wachezaji. Washindi mbalimbali wa mchezo huu sasa watajinyakulia simu za Smartphones za kisasa kabisa aina ya Samsung A26, hivyo kama bado hujaanza kucheza huu mchezo…

Read More

DK.SAMIA AACHA FURAHA PANGANI AKIOMBA KURA KUELEKEA OKTOBA 29

 *Aweka wazi mikakati wa kuifungua Pangani kwa miundombinu ya barabara  Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Pangani MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi mbalimbali ambazo Serikali inakwenda kuyatekeleza katika miaka mitano ijayo katika Wilaya ya Pangani mkoani Tanga huku akitumia nafasi hiyo kuzungumza Ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-Saadan-Pangani hadi Tanga…

Read More

Kampuni ya Nazneen Handling yakabidhi mashine Chuo cha VETA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Nazneen, Hafeezali Gangji (wapili kulia) akikabidhi mfano wa funguo ya mtambo wa kuchanganyia zege,Zulfiqar zaky (katiakti) Dar es Salaam baada ya kununua mtambo huo kwenye maonesho ya 26 ya Buld Expo 2025. Kushoto ni Mohammed Kassam, Mkurugenzi wa Mauzo wa kamapuni hiyo, Niranjani Bandi na Nazia Gangji. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni…

Read More

Samia aahidi makubwa Pangani, akimsifu Aweso

Tanga. Mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan amesema mgombea ubunge wa jimbo la Pangani Jumaa Aweso amefanya kazi kubwa iliyofanya upatikanaji wa maji kufikia asilimia 85. Amesema katika kipindi kijacho cha miaka mitano mpango wa Serikali ni kuhakikisha inamaliza changamoto ya maji kwenye maeneo yote yaliyosalia ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata maji safi na…

Read More

Airtel Africa Foundation unveils plan for improving 10 million lives in Africa by 203

Airtel Africa Foundation, the philanthropic arm of Airtel Africa plc, today unveiled its plans to directly improve the lives of 10 million people across the continent by 2030. The strategy will be delivered through targeted initiatives under four core pillars namely Financial Empowerment, Education, Environmental Protection and Digital Inclusion (FEED Outlining the ambitious target, Dr….

Read More

Wakulima Pemba wachekelea mpango wa hati miliki za mashamba ya karafuu

Pemba. Baada ya kuahidiwa kupatiwa hati-miliki za mashamba, wakulima wa karafuu kisiwani Pemba wameeleza matumaini ma-kubwa kuwa hatua hiyo itawaondolea dhu-luma na migogoro inayojitokeza kila msimu wa mavuno. Kwa muda mrefu, baadhi ya wakulima wamekuwa wakikumbana na changamoto za uvamizi na kudhulumiwa mashamba, licha ya mashamba hayo kurithishwa kutoka kizazi hadi kizazi au kupewa na…

Read More