Meridianbet Yaja Na Dhamira ya Ushindi Mechi Za Jumatatu

JUMATATU hii, viwanja vya soka barani Ulaya vinageuka majukwaa ya burudani na ushindani mkali, huku mashabiki wakijiandaa kushuhudia mechi nne za kuvutia kutoka EPL, La Liga na Serie A. Kwa wale wanaopenda kubashiri kwa maarifa, Meridianbet imeweka mazingira ya ushindi kuwa ya kuvutia zaidi kuliko kawaida, odds kubwa na machaguo tele kwa kila dakika ya…

Read More

DKT. BITEKO AWAPA HEKO WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI

Teknolojia za kisasa za uchenjuaji madini zatajwa kuwa na tija kuliko matumizi ya zebaki Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya madini Mwaka 2020/2021 hadi 2024/2025 Serikali yakusanya zaidi ya shilingi tirioni 3.8 kutoka sekta ya madini Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati SERIKALI imeongeza ushirikishwaji…

Read More

Watu 4 Wauawa, Wengi Wamejeruhiwa – Global Publishers

Watu wanne wamepoteza maisha na wengine wanane kujeruhiwa baada ya mtu mwenye silaha kushambulia ibada katika Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho huko Grand Blanc Township, Michigan, Jumapili asubuhi, polisi wanasema. Mshukiwa aliuawa na maafisa waliojibu tukio. Mamlaka zimetambua mshukiwa kuwa Thomas Jacob Sanford, 40, ambaye alidaiwa kulipiga…

Read More

WITO WATOLEWA KWA WADAU KUENDELEA KUUNGA MKONO JITIHADA ZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO ZA LISHE NCHINI

:::::: NA. MWANDISHI WETU – DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Chakula na Lishe Dkt. Germana Leyna ametoa wito kwa wadu wa masuala ya lishe nchini kuendelea kuunga mkono jitihada za kupambana na changamoto zinazokabili masuala ya Lishe huku akisema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kukabili changamoto hizo kwa kuwa na mikakati madhubuti….

Read More

Jumapili ya Balaa La Ulaya Na Faida Za Kifalme

MASHABIKI wa soka wanapata burudani ya kipekee leo, huku miamba wa Ulaya wakipambana vikali kusaka pointi muhimu. Kwa wapenzi wa kubashiri, Meridianbet imeweka odds za kuvutia na machaguo mengi ya kukupa faida ya haraka. Aston Villa wanawakaribisha Fulham mchana huu. Villa bado hawajapata ushindi msimu huu, lakini wanapambana kwa nguvu kurekebisha hali. Fulham wana safu…

Read More

Jumapili ya Balaa La Ulaya Na Faida Za Kifalme

MASHABIKI wa soka wanapata burudani ya kipekee leo, huku miamba wa Ulaya wakipambana vikali kusaka pointi muhimu. Kwa wapenzi wa kubashiri, Meridianbet imeweka odds za kuvutia na machaguo mengi ya kukupa faida ya haraka. Aston Villa wanawakaribisha Fulham mchana huu. Villa bado hawajapata ushindi msimu huu, lakini wanapambana kwa nguvu kurekebisha hali. Fulham wana safu…

Read More

NENO KWA NENO ALIYOYASEMA JAKAYA KIKWETE MBELE YA DK.SAMIA AKIMUOMBEA KURA

*Amhakikishia  mgombea Urais Pwani watamchagua kwa kura nyingi za kihistoria *Asema hawapo tayari  kuchanganya pumba na mchele…kwani hawafanyi biashara hiyo Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Pwani. RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Dk.Jakaya Kikwete amewaomba wananchi wa Mkoa wa Pwani na Watanzania kwa ujumla kumpigia kura ya ndio mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia…

Read More