WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA BIASHARA WA HUNGARY ATUA NCHINI
…………. Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Hungary, Mhe. Péter Szijjártó amewasili nchini Septemba 29, 2025 kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Mhe. Szijjártó’ amepokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…