Dkt. Samia Aahidi Ujenzi wa Bandari Mpya ya Bagamoyo – Video – Global Publishers

Last updated Sep 29, 2025 Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi miradi mikubwa ya maendeleo ikiwa ni sehemu ya vipaumbele vya serikali atakayoongoza endapo atachaguliwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Jumapili, Septemba 28, 2025,…

Read More

SERIKALI YAHIMIZA TAASISI ZA KULEA YATIMA KULINDA IMANI YA WAHISANI

 Na Albert Kawogo,Bagamoyo  SERIKALI imezitaka taasisi zinazosimamia malezi ya watoto yatima na wale wanaoshi katika mazingira magumu kusimamia miongozo,taratibu na sheria katika matumizi ya misaada mbalimbali wanayopewa ili kujenga imani ya wahisani wanaotoa misaada hiyo   Wito huo umetolewa hivi karibuni  na Afisa Ustawi wa Jamii wa Wilaya ya Bagamoyo Abuu Yasin wakati wa sherehe…

Read More

HAMZA TANDIKO AENDELEA KUWASHA MOTO WA KAMPENI MAGANZO

Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Hamza Yusuph Tandiko. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Kampeni za Uchaguzi Mkuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimeendelea kushika kasi, ambapo Mgombea Udiwani wa Kata ya Maganzo, Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Hamza Yusuph Tandiko, ameendelea kunadi Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu 2025-2030 akisisitiza kuwa ni…

Read More

Askofu Shao: Amani isiwe mdomoni tu

Dodoma. Askofu wa Jimbo Katoliki Zanzibar, Augustino Shao amesema amani ya kweli haiwezi kupatikana bila haki, akisisitiza kwamba mioyo ya watu wengi inavuja kwa kukosa haki licha ya kuonekana wametulia. Askofu Shao amesema hayo leo leo Jumapili Septemba 29, 2025 wakati akihubiri kwenye misa ya Sakramenti ya Kipaimara, katika Parokia ya Kivule, Jimbo Kuu Katoliki…

Read More

Mgombea udiwani CCM aahidi kukomesha wanafunzi kutembea umbali mrefu

Moshi. Mgombea udiwani wa Kata ya Karanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Deogratius Mallya, ameahidi kushughulikia changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kwenda shuleni kwa kuhakikisha ujenzi wa shule mpya ya sekondari katika kata hiyo, akitachaguliwa kuwa diwani. Akizungumza leo, Septemba 28, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake uliofanyika katika kata hiyo, Mallya amesema shule…

Read More