DK.SAMIA SULUHU HASSAN AAHIDI KUJENGA BARABARA YA NJIA SITA KUANZIA KIBAHA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV- Pwani MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan mipango ya Serikali katika mitano no ijayo inatarajia kujenga njia sita za magari na njia mbili za mwendokasi kuanzia Mailimoja hadi Picha ya Ndege katika barabara ya Morogoro mkoani Pwani. Akizungumza katika mkutano wa kampeni leo Septemba 28,2015 katika mkutano…