Nani msuluhishi wa ndoa yako?

Ndoa ni taasisi muhimu katika jamii, na inahitaji juhudi za pande zote mbili ili iendelee kudumu. Ingawa ndoa inaweza kuwa chanzo cha furaha na utulivu, pia inaweza kuwa na changamoto ambazo, ikiwa hazitashughulikiwa kwa uangalifu, zinaweza kusababisha migogoro, machafuko na hata talaka. Katika hali ya migogoro ya ndoa, usuluhishi unakuwa chombo muhimu cha kutatua matatizo…

Read More

Mbinu za kumfundisha mtoto kuwa mkweli

Dodoma. Fikiria uko jikoni ukiandaa chakula cha jioni. Watoto wako wawili wadogo Fred na Linda wanacheza sebuleni. Salome yuko mezani akifanya kazi za shule. Mara unasikia mlio wa kitu kuvunjika sebuleni. Unapatwa na wasiwasi. Unakwenda haraka kujua kilichotokea. Maji yanatiririka sakafuni. Chupa ya chai imedondoka na kupasuka. Unakasirika. Fred, mwanao mdogo, haonekani kuwa na wasiwasi….

Read More

RAIS SAMIA ANATHAMINI MCHANGO WA WAONGOZA WATALII NCHINI

Na Mwandishi Wetu- Karatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anathamini na kujua kazi na mchango wa waongoza watalii nchini Tanzania. Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ameyasema hayo katika tukio la Fainali ya Safari Field Challenge Toleo la 10, likiambatana na maadhimisho ya Miaka…

Read More

EWURA YATEMBELEA MRADI WA UMEME WA SOLA KISHAPU

  Na Tobietha Makafu & Janeth Mesomapya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetembelea mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua uliopo Kishapu, mkoani Shinyanga, leo tarehe 27 Septemba 2025. Akitoa taarifa kwa Bodi, Meneja wa Mradi Mha. Emmanuel Anderson alisema, mradi huo unatekelezwa kwa awamu…

Read More

EWURA YATEMBELEA MRADI MKUBWA WA UMEME WA SOLA KISHAPU

Na Tobietha Makafu & Janeth Mesomapya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetembelea mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua uliopo Kishapu, mkoani Shinyanga, leo tarehe 27 Septemba 2025. Akitoa taarifa kwa Bodi, Meneja wa Mradi Mha. Emmanuel Anderson alisema, mradi huo unatekelezwa kwa awamu mbili,…

Read More

Tanzania Yapata Medali ya Dhahabu Apimondia 2025

Tanzania imepata heshima kubwa ya kimataifa baada ya kutunukiwa Medali ya Dhahabu katika Kongresi ya 49 ya Apimondia iliyofanyika katika ukanda wa Scandinavia (Sweden, Denmark na Norway). Tuzo hiyo ilitangazwa Septemba 27, 2025 ambapo banda la Tanzania lilishinda katika kipengele cha Large Stand (zaidi ya mita 36 za mraba) kutokana na ubunifu na ubora wa…

Read More

TRA yajizatiti huduma kwa wafanyabiashara wadogo

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wadogo na wa kati mkoani Dar es Salaam wametakiwa kuchangamkia dawati la uwezeshaji biashara lililozinduliwa likilenga kuimarisha biashara zao. Dawati hilo limezinduliwa leo Septemba 27, 2025 na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Dawati hilo…

Read More