Furaha ya wazazi inayoangamiza kesho ya watoto

Dar es Salaam. “Mitandao haisahau.” Ni usemi kueleza kwamba, lolote liwekwalo mtandaoni, ama iwe ni picha, maandiko, video, maoni au taarifa binafsi hubaki na kuna uwezekano wa kuonekana hata kama likifutwa. Hii ni kutokana na kuwa, taarifa mara nyingi huhifadhiwa kwenye seva mbalimbali, watu huhifadhi kwa kuzipakua au kuzipiga picha na wana uwezo wa kuzisambaza…

Read More

Serikali, wadau kushirikiana kukuza utalii

Ngorongoro. Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau katika kukuza sekta ya utalii, ambayo kwa mwaka 2024 imeingizia Taifa Dola za Marekani bilioni 3.9 (sawa na Sh9 trilioni). Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk Hassan Abbasi, amesema hayo jana Septemba 27, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani yaliyofanyika katika eneo la Ngoitokitoki,…

Read More

Othman aahidi elimu itakayojenga ushindani Zanzibar

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema mfumo wa elimu utakaoundwa na serikali ya chama hicho utawezesha wanafunzi wa Zanzibar kushindana na si kuwa wasindikizaji. Amesema ACT-Wazalendo ikishika madaraka katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 imedhamiria kuhakikisha Zanzibar inakuwa Taifa lililoelimika ili kuendana na hali ya…

Read More

BoT yakusanya tani tano za dhahabu kutoka MPMR

Mwanza. Kiwanda cha kusafisha madini ya dhahabu Mwanza Precious Metals Refinery (MPMR) kilichopo jijini Mwanza, kimefanikiwa kukusanya tani tano za madini ya dhahabu kwa kipindi cha mwaka mmoja, na kuendelea kuipaisha Tanzania katika sekta ya madini kwa ukanda wa Afrika Mashariki. Akizungumza leo Septemba 27, 2025 na ujumbe kutoka Malawi, Ofisa Madini kutoka mkoani Mwanza…

Read More

Tahadhari zachukuliwa vifo vya samaki Mto Malagarasi

Dar/Kigoma. Serikali mkoani Kigoma imesema wananchi wanaendelea kupata huduma ya maji kwa matumizi ya nyumbani kutoka vyanzo vingine salama, huku uchunguzi wa kitaalamu ukiendelea kufanywa kuhusu vifo vya samaki na viumbe wengine vilivyogunduliwa ndani ya Mto Malagarasi. Wananchi ambao wamekuwa wakipata maji kwa matumizi mbalimbali kutokana na chanzo hicho, wameacha kuyatumia kutokana na  tahadhari iliyotolewa…

Read More

Mavunde kuanzisha klabu za wazee jimboni Mtumba

Dodoma. Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtumba (CCM),  Anthony Mavunde amejifunga katika mambo 10 akihutubia wananchi katika Kata ya Nghong’ona huku akielekeza nguvu kuanzisha klabu za wazee. Katika mkutano huo, Mavunde amesema ni wakati sasa kuwakumbuka wazee na kuwaanzishia klabu zao ili tuwaweke pamoja na kusikiliza matatizo na changamoto zinazowakabili. “Jimbo lilikuwa na Kata 41,…

Read More

WAHANDISI WANAOKIUKA MAADILI KUCHUKULIWA HATUA: ULEGA

::::: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameitaka Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB) kuwachukulia hatua za kinidhamu na kutopewa kazi nyingine wahandisi wasiofanya kazi zao kwa uadilifu na wasiozingatia viapo na miiko ya taaluma yao. Ameeleza hayo Septemba 26, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akifunga maadhimisho ya 22 ya Siku ya Wahandisi Tanzania ambayo…

Read More

DKT. PHILIP MPANGO, BALOZI MULAMULA NA VIONGOZI WENGINE WA TANZANIA WASHIRIKI MKUTANO WA UNGA NEW YORK, USA.

:::::::::: Viongozi mbalimbali wa Tanzania wakiongozwa na Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango wameshiriki mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) New York. Pia, Mtanzania Balozi Liberata Mulamula ambaye ni Mjumbe Maalum Umoja wa Afrika, kuhusu Agenda ya Wanawake, Amani na Usalama, ameshiriki mkutano huo. Viongozi wengine walioshirki huo ni Waziri wa Mambo…

Read More