MGOMBEA URAIS WA CUF GOMBO KUANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Na Oscar Assenga,TANGA MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CUF) Samandito Gombo amesema siku 100 baada ya kuchaguliwa kuwa Rais atahakikisha anaanzisha mchakato wa katiba mpya na itakuwa ni siku ya kwanza baada ya kuapishwa. Gombo aliyasema hayo leo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari Jijini Tanga ambapo alisema atateua…