Polisi yapiga marufuku maandamano Desemba 9
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku maandamano yanayodaiwa kupangwa Desemba 9,2025 nchi nzima, likisema yamekosa sifa za kisheria ya kuruhusiwa kufanyika. Kwa mujibu wa polisi, hadi sasa hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa na ofisi yoyote ile ya Mkuu wa Polisi Wilaya nchini ya kutoa taarifa kuhusu kufanyika kwa maandamano hayo. Uamuzi…