Ruwaich ataja athari za jamii kukizoea kifo
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi ametuma ujumbe kwa Watanzania akiwataka kutokizoea kifo kwani kufanya hivyo watakuwa viumbe wa ajabu. Ametahadharisha endapo watu watajenga mazoea dhidi ya kifo, watasababisha mauaji ya binadamu wenzao kwa mzaha. Ametoa wito huo leo Jumamosi Septemba 27, 2025 wakati…