Mgombea urais CUF awaonya wanaohamasisha maandamano Oktoba 29
Tanga. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Gombo, amewatahadharisha wale wanaohamasisha maandamano siku ya kupiga kura, Oktoba 29, 2025, akisema nia yao ni kuichafua Tanzania huku wao wakiwa salama nchi za nje. Gombo ametoa kauli hiyo leo, Jumamosi Septemba 27, 2025, wakati wa mkutano na waandishi wa…