Ahueni wakulima Kishapu wakikabidhiwa matrekta
Shinyanga. Wakulima wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamekabidhiwa matrekta yenye thamani ya Sh238.4 milioni ili kuondokana na matumizi ya jembe la mkono na kuongeza uzalishaji kupitia kilimo na kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla. Akikabidhi matrekta hayo Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Peter Masindi leo Septemba 26, 2025 amesema hatua hiyo ni chachu ya kuwaletea…