DC MAYANJA:TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYEWE

  Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja,akizungumza leo Septemba  26.09.2025 na timu ya maafisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) walipofika ofisini kwake kwa ajili ya kujitambulisha na kumtaarifu juu ya zoezi la kampeni ya elimu ya kodi mlango mlango wilayani humo. Na.Yahya Saleh-Chamwino “Hatuna nchi nyingine zaidi ya Jamhuri ya Muungano wa…

Read More

NIT yaonesha ubunifu wa wanafunzi kwenye Maonesho ya Wahandisi

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Dar es Salaam, Septemba 26, 2025 – Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeshiriki katika Maonesho ya 22 ya Wahandisi yanayoendelea katika viwanja vya Mlimani City, ambapo wanafunzi wake wametumia fursa hiyo kuonesha ubunifu wao kwa wananchi. Akizungumza katika maonesho hayo, mwanafunzi wa shahada ya Uhandisi wa Umeme, Mohamed Chipokoso,…

Read More

Ombi la mjane Alice kwa mahakama sakata la nyumba

Dar es Salaam. Mjane, Alice Haule amewasilisha maombi ya kufungua shauri la madai ya ardhi katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, sambamba na maombi madogo, akiomba zuio la muda la kutoondolewa kwenye nyumba. Alice na mfanyabiashara Mohamed Mustafa Yusufali, wana mgogoro wa umiliki wa nyumba iliyopo kiwanja namba 819, chenye hati namba 49298, Msasani Beach,…

Read More