Vijiji 7,604 vyasalia kumilikishwa hati za hakimiliki za kimila
Shinyanga. Vijiji 7,604 nchini vimesalia ili kukamilisha idadi ya vijiji vyote 12,333 nchini katika mpango wa matumizi ya ardhi uliolenga kuongeza thamani ya ardhi, kuwakwamua wananchi katika wimbi la umasikini pamoja na kuweka suluhu ya kudumu ya migogoro ya ardhi iliyoota mizizi katika maeneo mbalimbali. Mpaka sasa kitaifa kuna jumla ya mipango ya matumizi ya…