Uandishi wa habari matumizi ya nishati jua kwenye kilimo waongezeka Afrika Mashariki
Dar es Salaam. Utafiti mpya umebaini nchi tatu za Afrika Mashariki Tanzania, Kenya na Uganda, zimekuwa na ongezeko la uandishi wa habari za matumizi ya umeme jua katika kilimo. Utafiti huo ni kulingana na ripoti iliyotolewa na Kituo cha Umahiri kwenye vyombo vya habari (African Centre for Media Excellence) ukifadhiliwa na Taasisi ya MOTT (MOTT…