Vijana wasipoandaliwa kidijitali, taifa litaachwa nyuma
Dar es Salaam. Wataalamu wa elimu nchini wamesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kuchukua hatua za haraka na kufikiria upya dhana ya maarifa ya kusoma na kuandika, ili kuendana na mahitaji halisi ya ulimwengu wa kidijitali. Wanasema iwapo taifa linataka kuwaandaa vijana kwa ufanisi kukabiliana na changamoto na fursa za karne ya sasa, basi maarifa hayo…