Dkt. MASHINGO- VIJANA WAKIAMBIWA UKWELI MAPEMA, HUPATA ULINZI BORA KWA NDOTO ZAO
Na Karama Kenyunko, Michuzi Tv DUNIA inavyoelekea katika maadhimisho ya Siku ya Uzazi wa Mpango Duniani Septemba 26, mjadala kuhusu umuhimu wa elimu ya afya ya uzazi kwa vijana umeibua hisia kubwa nchini. Shirika la Marie Stopes Tanzania, kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na wadau mbalimbali, limeendesha kampeni ya kutoa elimu ya afya ya…